Nani kauza tiketi zaidi ya uwanja?

Nani kauza tiketi zaidi ya uwanja?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Usalama wa watanzania ulikaribia kuhatarishwa na wale wote waliouza tiketi za kuingia uwanja wa mkapa kuangalia mechi ya taifa stars v Uganda. Hii ilikuwa na malengo gani? Kuibia watu? Kuua watu? Kuumiza watu, kusababu wasitii Sheria bila shuluti au nini?

Watu hawa wachukuliwe hatua haraka
 
Sijui utafiti wako umefanya vipi? Wewe kwakuwa umeona watu wanaingia ukajua wote walilipia? Kaa ufanye utafiti urudi tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usalama wa watanzania ulikaribia kuhatarishwa na wale wote waliouza tiketi za kuingia uwanja wa mkapa kuangalia mechi ya taifa stars v Uganda. Hii ilikuwa na malengo gani? Kuibia watu? Kuua watu? Kuumiza watu, kusababu wasitii Sheria bila shuluti au nini?

Watu hawa wachukuliwe hatua haraka
ule ni wizi halisi , unauza tiketi halafu watu wanakosa chance !
 
Back
Top Bottom