Sijui utafiti wako umefanya vipi? Wewe kwakuwa umeona watu wanaingia ukajua wote walilipia? Kaa ufanye utafiti urudi tena.Usalama wa watanzania ulikaribia kuhatarishwa na wale wote waliouza tiketi za kuingia uwanja wa mkapa kuangalia mechi ya taifa stars v Uganda. Hii ilikuwa na malengo gani? Kuibia watu? Kuua watu? Kuumiza watu, kusababu wasitii Sheria bila shuluti au nini?
Watu hawa wachukuliwe hatua haraka
Kwahiyo Mzee unatakà kutuambia waliolipa alibakia nje na walioingia uwanjani waliingia bure?Sijui utafiti wako umefanya vipi? Wewe kwakuwa umeona watu wanaingia ukajua wote walilipia? Kaa ufanye utafiti urudi tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hujaskia watu walikuwa wanaingia bure?Kwahiyo Mzee unatakà kutuambia waliolipa alibakia nje na walioingia uwanjani waliingia bure?
ule ni wizi halisi , unauza tiketi halafu watu wanakosa chance !Usalama wa watanzania ulikaribia kuhatarishwa na wale wote waliouza tiketi za kuingia uwanja wa mkapa kuangalia mechi ya taifa stars v Uganda. Hii ilikuwa na malengo gani? Kuibia watu? Kuua watu? Kuumiza watu, kusababu wasitii Sheria bila shuluti au nini?
Watu hawa wachukuliwe hatua haraka