Nani kawadanganya kuwa mwembaba ndio urembo? mwanamke mrembo ni mwenye bambataa

Nani kawadanganya kuwa mwembaba ndio urembo? mwanamke mrembo ni mwenye bambataa

MUYOOL

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
561
Reaction score
445
Habari kwenu,

Mashindano ya urembo Tanzania wanashiriki vimbaumbau, mashindano ya urembo Duniani wanashiriki vimbaumbau!Nani kawadanganya vimbaumbau ndio warembo?

Hali hii imepelekea hata dada zetu kujikondosha na kuwa wembamba huku wakijidanganya kwamba ni urembo.

Mwanamke anayevutia katika mapenzi ni yule mwenye mat.ko kubwa kwa maana hiyo mwanamke mrembo pamoja na sura nzuri lazima na tak. liwepo.Hebu jiulize kama mwanamke mwenye mat.ko akipita ktk kundi la vijana lazima wasisimke na kumtazama lakini akipita kimbaumbau wanamuona kama mwanaume mwenzao.

Kwa hiyo wembamba sio urembo.

Kama unabisha njoo ubishe kwa hoja.
 
Kwa mtazamo wa kimagharibi wembemba ndiyo urembo na watu wote wameathiriwa na mtazamo huo,na mimi hushangaa sana mwanamke aliyejaaaliwa akipita wengi hugeuka au ndiyo njia ya kumtukuza Muumba kwa kazi aliyofanya.."....kila kazi aliyoifanya aliiona kuwa ni njema"
 
Tyta hebu njoo utuwekee picha za kinachozungumziwa kwenye thread hii tafadhali.
Wembamba si urembo ila utukunyema ndo mpango wenyewe!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom