SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Hawa Botswana wamekubuhu kwenye mbinu za nje ya uwanja, wanakufunga kwako kama umesinzia vile. Sijui wameimport product ya wapi inayowabeba kiasi hiki siku hizi.
Jwaneng Galaxy alimpiga Wydad kwake, waarabu wakabaki wameduwaa wakawashutumu kwa kuroga. Leo Botswana imempiga Cape Verde huko huko kwake. Wote mnakumbuka Cape Verde alivyosumbua kwenye AFCON ya mwisho, na wachezaji wengi waliocheza leo ni wale wale wa AFCON.
Wale Galaxy waliitoa Simba kwenye CAFCL katika mazingira ya ajabu sana. Simba ingewachekeachekea kwenye ile game ya goli 6 kingekuwa kilio kingine siku ile.