Mkuu mbona unatema sana nyongo, umekula?Wewe mbumbumbu kila siku unaleta uzi za kijinga, unawaza tu mpira wa nje wa uwanja kwa dunia ya kileo? Bado upo nyuma sana kwa ujinga. Ingekuwa wanategemea mikakati ya nje ya uwanja basi wasingeweza kufanya vizuri wakiwa ugenini.
Ndio nimeshakukulaMkuu mbona unatema sana nyongo, umekula?
Pole sana Bwana Mdogo, endelea kukuakua kidogoNdio nimeshakukula
Sawa mama mdogoPole sana Bwana Mdogo, endelea kukuakua kidogo
Umejibu swali rahisi kwa jazba na jasho jingi na mapovu,tatizo nini mkuuWewe mbumbumbu kila siku unaleta uzi za kijinga, unawaza tu mpira wa nje wa uwanja kwa dunia ya kileo? Bado upo nyuma sana kwa ujinga. Ingekuwa wanategemea mikakati ya nje ya uwanja basi wasingeweza kufanya vizuri wakiwa ugenini. Mpira wa sasa hauna janja janja wa mipango ya nje ya uwanja bali ni uwezo. Hao Wydad majibu yamepatikana kuwa wabovu ndio maana walifungwa na ndio maana msimu huu hawashiriki mashindano ya CAF. Hakuna cha mambo ya nje ya uwanja wala nini.
Unataka kujua tatizo? Tatizo ni makolo ni mambumbumbu wanashindwa kuleta maswali magumu wanaleta mpira wa kihisia wa nje wa uwanja hadi karne hii. Na huyo kolo mwenzio hajuagi kuleta uzi ambao unaweza kumtofautisha kati yake na mtoto wa darasa la kwanza.Umejibu swali rahisi kwa jazba na jasho jingi na mapovu,tatizo nini mkuu
Kolowizard wanaamini uchawi tu.Power of projects Wana project nzuri na ni wavumilivu kungoja matokeo
Lakini mkuu mpira ni mbinu tu, nakumbuka Botswana jana alifunga goli dk ya 3,na ilidumu mda wote walihakikisha majamaa hawapiti mbali na mpira kuwa upande mmoja lakini walijitahidi goli isirudi,kulinda goli dk 87 zote siyo mchezo ni utulivu mkubwa mno.Unataka kujua tatizo? Tatizo ni makolo ni mambumbumbu wanashindwa kuleta maswali magumu wanaleta mpira wa kihisia wa nje wa uwanja hadi karne hii. Na huyo kolo mwenzio hajuagi kuleta uzi ambao unaweza kumtofautisha kati yake na mtoto wa darasa la kwanza.
Jombaaa...huyo mkeka umechanika..haujamwelewa tu?Wewe mbumbumbu kila siku unaleta uzi za kijinga, unawaza tu mpira wa nje wa uwanja kwa dunia ya kileo? Bado upo nyuma sana kwa ujinga. Ingekuwa wanategemea mikakati ya nje ya uwanja basi wasingeweza kufanya vizuri wakiwa ugenini. Mpira wa sasa hauna janja janja wa mipango ya nje ya uwanja bali ni uwezo. Hao Wydad majibu yamepatikana kuwa wabovu ndio maana walifungwa na ndio maana msimu huu hawashiriki mashindano ya CAF. Hakuna cha mambo ya nje ya uwanja wala nini.
Upo sahihi, ila mleta uzi yeye anaamini katika mambo ya nje ya uwanja ndiyo yaliyoifanya timu ya taifa ya Botswana na klabu ya Galaxy iwe inapata matokeo.Lakini mkuu mpira ni mbinu tu, nakumbuka Botswana jana alifunga goli dk ya 3,na ilidumu mda wote walihakikisha majamaa hawapiti mbali na mpira kuwa upande mmoja lakini walijitahidi goli isirudi,kulinda goli dk 87 zote siyo mchezo ni utulivu mkubwa mno.
Kwani si upite kushoto tuu braza..hapa unaonekana ww ndo mbumbumbu kwa kulipuka kama gas kwny comment...Unataka kujua tatizo? Tatizo ni makolo ni mambumbumbu wanashindwa kuleta maswali magumu wanaleta mpira wa kihisia wa nje wa uwanja hadi karne hii. Na huyo kolo mwenzio hajuagi kuleta uzi ambao unaweza kumtofautisha kati yake na mtoto wa darasa la kwanza.
Umejibu swali rahisi kwa jazba na jasho jingi na mapovu,tatizo nini mkuu
Achaneni naye huyo nilishampiga tofali zamani sana, post zake hata sizioni.Kwani si upite kushoto tuu braza..hapa unaonekana ww ndo mbumbumbu kwa kulipuka kama gas kwny comment...