Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 1,490
- 3,482
Mkuu kama awali nilivyo sema, CCM naichukia. Kadi yao nichukue ya nini?Una kadi ya chama wewe na upo kwenye database yao na tayari ushapigiwa kura mpaka hapo hata km hutoenda kupiga kura maana wanahamisha tu majina kutoka huku kwenda huku imeisha hio
Mimi mboni sijapokea huo ujumbe wao?Mkuu kama awali nilivyo sema, CCM naichukia. Kadi yao nichukue ya nini?
Tarehe 29 haijafika, so unaweza tumiwa muda wowotešMimi mboni sijapokea huo ujumbe wao?
Wakinitumia mimi nawajibu kunya! Pumbavu zao!Habari wana JF?
Nianze kwa kusema naichukia CCM na watu wake, yaani nikisikia neno au sauti inatamka au kusema "CCM" napata kichefuchefu.
Hii chuki yangu ni kwa sababu ya udharimu na unyonyaji ambao CCM imeufanya kwa zaidi ya miaka 40 na inaendela kufanya.
Leo nimeamka nakutana na message wakinitaka nikampigie Samia kura yangu.
Naomba kuuliza hii access ya namba za watu CCM wanatoa wapi?
Na mbona vyama vingine sioni wakituma hizi SMS kama wao?
Where is political fair? Kwenye hii nchi ya kusadikika!!
Hii ni mara yangu ya kwanza kushuhudia mazingaombwe ya aina hii katka uchaguzi Mkuu!
HazijibikišWakinitumia mimi nawajibu kunya! Pumbavu zao!
Loooh! Awamu hii Rais anachaguliwa na wajinga!Hazijibikiš