mimi nilipata na nilikuja kushukuru.....na tupo pamoja hapahapa tunaliendeleza libeneke......ungependa kumjua.....?
kila siku tunawaambia mimi na wewe tumepata ila hawatuamini.
Mmepata au mmepatwa?
Mmepata au mmepatwa?
Mmepata au mmepatwa?
kila siku tunawaambia mimi na wewe tumepata ila hawatuamini.
jamani mwanishawishi kutafuta kumbe mambo mswano.