Possibles JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 1,933 Reaction score 2,439 Dec 2, 2011 #21 Nikitengana na huyu ntakuja kutafuta humu.
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,775 Reaction score 29,746 Dec 2, 2011 #22 zakiyah said: jamani mwanishawishi kutafuta kumbe mambo mswano. Click to expand... Huku poa sana Bi Zakiyah!!! We nitafute mimi uone kama hutonipata!!!
zakiyah said: jamani mwanishawishi kutafuta kumbe mambo mswano. Click to expand... Huku poa sana Bi Zakiyah!!! We nitafute mimi uone kama hutonipata!!!
dazu JF-Expert Member Joined Feb 26, 2011 Posts 365 Reaction score 76 Dec 3, 2011 Thread starter #23 Preta said: mimi nilipata na nilikuja kushukuru.....na tupo pamoja hapahapa tunaliendeleza libeneke......ungependa kumjua.....? Click to expand... Mi ningependa kumfahamu tu, KUMJUA ni hatua nyingine
Preta said: mimi nilipata na nilikuja kushukuru.....na tupo pamoja hapahapa tunaliendeleza libeneke......ungependa kumjua.....? Click to expand... Mi ningependa kumfahamu tu, KUMJUA ni hatua nyingine
Maarifa JF-Expert Member Joined Nov 23, 2006 Posts 4,568 Reaction score 2,918 Dec 3, 2011 #24 Husninyo said: Mimi nimepata. Click to expand... Umepata nini mwenzetu?
Maarifa JF-Expert Member Joined Nov 23, 2006 Posts 4,568 Reaction score 2,918 Dec 3, 2011 #25 Mimi kuna mtu alikuwa anatafuta paka akapata kwangu wawili. Ila feedback sijapata kama wamekua ama la!!1
Mimi kuna mtu alikuwa anatafuta paka akapata kwangu wawili. Ila feedback sijapata kama wamekua ama la!!1
Kalunguine JF-Expert Member Joined Jul 27, 2010 Posts 2,543 Reaction score 134 Dec 3, 2011 #26 Hongereni mliopata na kupatwa
M mbambaguy JF-Expert Member Joined Mar 11, 2011 Posts 217 Reaction score 19 Dec 10, 2011 #27 hakunaga!
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,852 Dec 10, 2011 #28 Maarifa said: Mimi kuna mtu alikuwa anatafuta paka akapata kwangu wawili. Ila feedback sijapata kama wamekua ama la!!1 Click to expand... naomba niwe shahidi yake......alileta picha hapa na paka ni wazuri na wana afya njema....nimesahau jina la huyo member.....ningekuletea hiyo thread.......
Maarifa said: Mimi kuna mtu alikuwa anatafuta paka akapata kwangu wawili. Ila feedback sijapata kama wamekua ama la!!1 Click to expand... naomba niwe shahidi yake......alileta picha hapa na paka ni wazuri na wana afya njema....nimesahau jina la huyo member.....ningekuletea hiyo thread.......
M mbambaguy JF-Expert Member Joined Mar 11, 2011 Posts 217 Reaction score 19 Dec 10, 2011 #29 mmepata wap:lol::lol: