Nani Kidedea mapenzi asilia au mapenzi mwigo(kwenye vitabu na kideoni)

Magulumangu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
3,051
Reaction score
461
Jamani avumaye baharini kumbe papa wengine wamo,mchumia juani hulia kivurini,mganga na njaa hafi masikini...ni tatu lkn zina maana kiao jamani...nipeni hoja zenu nyie kinadada maana wengine huwaita kuku wa kienyeji lkn mie huwaita them knows love meanings and love definitions..je who is who kwene mambo?modern one au kale ka kienyeji?Tunda la kumwagiliwa au la porini?apple la Dubai au la Tanga?Jogoo la mjini au lisilowika town?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…