Nani Kuchukua mikoba ya Morinho Man U ?

Pichetinho anaweza kwenda pale Man U afu akahatibikiwa jumla kabisa kama alivyokuwa Moyez sababu Man U ni timu kubwa sana duniani so presha yake si ya kisports sports haha hahaaaaa....!!!

Pia jinsi tuonavyo baadhi ya Wachezaji hung'aa saaaaana kimchezo wakiwa katika klabu ndogo ndogo lakini wakihamia katika klabu kubwa kubwa ndipo hapo hapo biashara yao huishia, ndivyo vivyo hivyo huwezatokea kwa baadhi ya Makocha kwa kuwa na mafanikio tele akiwa na klabu kubwa lakini akishahamia tu katika klabu kubwa ndipo papo hapo hupotea mazima, haha hahaaaa...."the world is so difficult to understand it vividly(unpredictable)"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…