Nani kumrithi 'AVB' Chelsea?

Nani kumrithi 'AVB' Chelsea?

YEYE

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Posts
437
Reaction score
72
Kwa upande wangu nampa nafasi kubwa Raphael Benitez, sababu mmoja ya makocha wazuri ambao hawana timu kwa sasa na inakuwa ni virahisi sana kumpata., tofauti na makocha wengine wanaopigiwa chapuo ka Mourinho na Guardiola.
GUARDIOLA
goal.com poll
 
Benitez ni kocha mzuri kilichom cost alipokuwa Liverpool wale matajiri walikuwa wagumu sana kutoa fedha za usajiri, nadhani akienda Chelsea anaweza akaibadilisha
 
Sunday Kayuni labda......kocha yoyote mweye akili hawezikukubali hii kazi...WAZIMU MTUPU....:lol::eyebrows::embarassed2:
 
check avater hiyo di mateo katika press after kukipga FA amekiri morinho bado anaushawishi kwa baadh ya wachezaji na washabiki wa chelsea jana all the time walikuwa wakimwimba morinyoooo.i think m a special one
 
Walikuwa wanamtaka the king redknap pia lakini jana kawapa za uso.
 
Back
Top Bottom