Nani kutwaa kiatu cha goli bora la CAF msimu wa 2023/2024?

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Kuelekea kuanza kwa Mashindano mbalimbali yanayoratibiwa na Shirikisho la Soka Afrika 'CAF' tuzo ya Kiatu cha Goli Bora la CAF upande wa wanaume unafikiri itakwenda kwa mchezaji gani?


 
Mkuu, huwezi tabiri au kusema ni mchezaji fluan atakuwa mfungaji bora wa msimu (2023/2025.)Maana hutokea tu. Maada yako ingekuwa na nguvu/mvuto ungeuliza ni timu zipi zitafika makundi/robo/nusu final/final msimu wa 2023/2024
 
pia magoli yanaanza kuhesabiwa kuanzia ngazi ya makundi hivyo chochote kinaweza kutokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…