Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,296 Reaction score 18,027 Dec 26, 2010 #1 Kuna tetesi kuwa mmoja wa wanaofikiriwa ni Othaman Chande. Anaweza kuwa na sifa lakini tuepuke kuwa na jaji mkuu huku mkuu wa usalama wa taifa akiwa ni mdogo wake. Watu wengine wenye sifa wapo
Kuna tetesi kuwa mmoja wa wanaofikiriwa ni Othaman Chande. Anaweza kuwa na sifa lakini tuepuke kuwa na jaji mkuu huku mkuu wa usalama wa taifa akiwa ni mdogo wake. Watu wengine wenye sifa wapo