Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mfano, Chadema, NCCR, TLP and UDP wakiungana si watakuwa na kura kuliko hawa CCM-B
Chama kinachofuatia kura za uraisi na majimbo. Ndiyo maana NEC wanajitahidi CUF ionekane ya pili, ili kiongozi atoke upande wa CUF. We all know that CUF is CCM B. And strategically, ni kwamba ikitokea hata serikali ya Mseto, Basi Makamu atoke CUF, kama ilivyo kwa Zanzibar. Hapo ndiyo logic yote ya uchakachaji inaposimamia...stay tuned for next five years of madudu....
Kwani watakuwa wangapi?Kwa mfano, Chadema, NCCR, TLP and UDP wakiungana si watakuwa na kura kuliko hawa CCM-B