Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Feb 28, 2021 Thread starter #121 noiselessly hunter said: Na wewe mwandika bandiko huna utu,hata kidogo,mtu hajazikwa unaanza kubashiri warithi wa cheo? Kuwa na utu japo kidogo,subiri azikwe ndo mengine yaendelee,ungekua nduguyo wa karibu,ungefurahi watu wajadili namna hiyo? Click to expand... Mbona Bashiru Ally kateuliwa kabla hata mashada hayajanyauka ?
noiselessly hunter said: Na wewe mwandika bandiko huna utu,hata kidogo,mtu hajazikwa unaanza kubashiri warithi wa cheo? Kuwa na utu japo kidogo,subiri azikwe ndo mengine yaendelee,ungekua nduguyo wa karibu,ungefurahi watu wajadili namna hiyo? Click to expand... Mbona Bashiru Ally kateuliwa kabla hata mashada hayajanyauka ?