Nani mbabe: Black Mamba vs King Cobra

Utakuwa humjui black mamba,
nyoka wote unaweza kucheza nao ila sio black mamba,
hanaga urafiki kabisa,
akihisi kwamba yoyote ameingia kwenye territory yake,
hakikisho la kwanza ni kukusaka hadi akupate mmalizane kwanza ndio mambo mengine yaendelee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti hadi mmalizane kwanza.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
je wana sumu za kudhuru
Twig snake ana sumu lakini ni harmless(haidhuru kabisa labda utapata muwasho tuu)
brown house snake hana sumu kabisa ye ni mnyongaji tuu(constrictor).asilimia karibu 70 ya nyoka wengi hawana sumu lakini binadam kwa imani zetu tukiona nyoka tuu tunajua ana sumu na kumsulubu!!
sio vibaya wala sio vizuri sababu nyoka wenye sumu na wasio na sumu hufanana!
 
Cobra nimewaua sana majira ya kiangazi, nilikuwa nikimwona, anatabia ya kuvimba kichwa na kusimamia mkia..hapo ndipo humpiga na kujivingisha kwenye rungu
 
Kweli asee ndo maana alikua ani ng'ati ila kalinibana vidole vyangu hatari.

Me binafsi hua siui nyoka nawapenda kuwa chezea alafu nawapeleka sehemu salama ambayo najua hakuna mtu wa kuwadhuru.
 
Wazungu wametuambia tufanye hivyo kwenye vile vitabu vyao vya dini😁😁
 
Kweli asee ndo maana alikua ani ng'ati ila kalinibana vidole vyangu hatari.

Me binafsi hua siui nyoka nawapenda kuwa chezea alafu nawapeleka sehemu salama ambayo najua hakuna mtu wa kuwadhuru.
Una hatari sana ndugu yangu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…