Nani mbabe: Black Mamba vs King Cobra

Alafu akikung'ata kuna unaweza kuvuja damu mfululizo mpaka kifo chako huyu nyoka ni hatar sana sema hajabarikiwa umbo kubwa kama la king cobra
 
Kifutu mstaarabu sana.. mpaka umchokoze ndio anakushambulia, anaweza kaa pembeni yako hata saa zima na usijue kama yupo ila usijitingishe ukamgusa
ndio anaongoza kwa vifo zaidi kuliko wote Africa ya kukaa bila kusumbuliwa nayo ni sababu ya bites nyingi
 
Nakubali kusahihishwa mkuu
 
Nilivyoelewa ni kwamba Hii Jamaa imejikita kupambanisha wao kwa wao na si wao against sisi binadamu

Ila ukiwapambanisha na binadamu ni bora mara 10 ukutane na Black mamba kuliko Cobra.
Wewe umenielewa vizuri
 
Black mamba ni habari nyingine yanii.. huyo nyoka sio wa utani wengine mpaka uwachokoze ndo wanakudhuru huyu vita ni vita yanii akikuona tu unalooo... [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] anakufata hadi kwako yanii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah mwendo mpera mpera, hadi mmalizane.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Huu mbona ni uchawi jamani khaaaah.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Kiongozi wataalamu wa mambo ya toxicology wanasema black mamba ni mdeadly zaidi ya nyoka wote duniani.
 
Black mamba ni habari nyingine yanii.. huyo nyoka sio wa utani wengine mpaka uwachokoze ndo wanakudhuru huyu vita ni vita yanii akikuona tu unalooo... 🤣 🤣 🤣 🤣 anakufata hadi kwako yanii
Waambie vijana wakuelewe, black mamba sio nyoka ni zaidi ya monster.Na wewe nakufananisha na black mamba kwenye kula mbunye kimasihara.
 
Mbele ya Nguchiro au paka hawa ni wachumba tuu!
 
Nilivyoelewa ni kwamba Hii Jamaa imejikita kupambanisha wao kwa wao na si wao against sisi binadamu

Ila ukiwapambanisha na binadamu ni bora mara 10 ukutane na Black mamba kuliko Cobra.
Acha utani wewe,yani bora ukutane na Black Mamba kuliko Cobra?! Nahisi hujui show za Black Mamba mkuu.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…