Nani mbabe: Black Mamba vs King Cobra

Umefifisha sifa za Black Mamba. Huyo jamaa akiingia kwenye zizi anaangusha ngombe wote. Nyoka wengi hawana uwezo wa kugonga mara nyingi kama Black Mamba
 
Cobra hata kwetu kijijini wanauawa sana.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Nakazia[emoji116]
 
Ukiwa mtu pori first aid kit ni muhimu ukigongwa unajitibu fasta
 
Nimetazama video clip za Wazigua wakicheza na nyoka hatari duniani
Black Mamba na Green Mamba sikuweza kuamini haya yanayokea nchini na hatuyajui

Mzungu ametetemeka mpaka goosebumps hakuamini watu wanacheza na nyoka hatari duniani

I wish siku moja nitimize na mimi ndoto to dance with koboko

 
Utakuwa humjui black mamba,
nyoka wote unaweza kucheza nao ila sio black mamba,
hanaga urafiki kabisa,
akihisi kwamba yoyote ameingia kwenye territory yake,
hakikisho la kwanza ni kukusaka hadi akupate mmalizane kwanza ndio mambo mengine yaendelee
Hakika
 
Black mamba ni Ana zilizala sio dogo mkuu na pia hana tabia ya kumkimbia mwanadam yani yeye ni mtata kiufupi mkikutana kiumbe hafai hata kidogo, "enzi tunasoma 'tabora boys' aliingia mmoja kwenye bweni letu basi hakuna mtu alie ingia ndani siku hiyo mpaka alipo amua kuondoka mwenyewe".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…