Nani Mbaya!!

BIG X

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2011
Posts
777
Reaction score
212
Mwalimu mnoko anayewakamata wanafunzi wanaodesa darasani au Mwanafunzi mnoko anayemsema mwalimu vibaya kisa ameshindwa kudesa darasani wakati wa mtihani!!.

Nani mbaya kuliko mwenzie!!.
 
Mwalimu mnoko anayewakamata wanafunzi wanaodesa darasani au Mwanafunzi mnoko anayemsema mwalimu vibaya kisa ameshindwa kudesa darasani wakati wa mtihani!!.

Nani mbaya kuliko mwenzie!!.

Wote wanoko
 
Kudesa inasababisha tunapata watu kama kina Nchemba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…