jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,901
Najua kila binadamu ana carrier yake wengine wako sirious kama mimi na kuna wengine muda wote wao ni kufanya masihara na ucheshi wa hapa na pale.
Je nani ni mtu sirious na mtu wa mizaha mingi Jamii forum?
Nimeanza kuchekesha?You are not serious!
Angalia ulivyoandika (sirious), YOU ARE NOT SERIOUS!
....jipange ulete mada fastaHizi mada za dizaini hii sikuhiz zimekua nyingi kweli.. Chitchat hatuna cha kufikiria zaidi nje ya members! mara huyu hivi yule vile khaa!!
ukiwa maarufuMimi nitaanza kujadiliwa lini ?
hiyo tabia mbaya,ndo maana mi niliunganisha viID vyanguKupaishana/kupeana kick
Tena wengine wana multiple ID wanajianzishiaga uzi au kujitajataja tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umaarufu humu naupataje ? Au nipasue mtu nini ? Nianze na weweukiwa maarufu
umaarufu ni kuanzisha mada mara kwa mara na kuchangia mada uwezavyoUmaarufu humu naupataje ? Au nipasue mtu nini ? Nianze na wewe
Kumbe mada tu ,kwa hiyi nikiamua kujitangaza kikojozi nakua maarufu ?umaarufu ni kuanzisha mada mara kwa mara na kuchangia mada uwezavyo
acha uji'nga mkuu,humu kwa magreat thinker sasa ujitangaze kikojozi ili iweje?..kama kweli anzisha mada ukiomba msaada wa jinsi ya kuacha!Kumbe mada tu ,kwa hiyi nikiamua kujitangaza kikojozi nakua maarufu ?
Kwani umaarufu huwa una vigezo ? Yule mke wa Sugu Faiza huwa anafanya nini ? Si maarufu yule ?acha uji'nga mkuu,humu kwa magreat thinker sasa ujitangaze kikojozi ili iweje?..kama kweli anzisha mada ukiomba msaada wa jinsi ya kuacha!
kwani wapo humu JF??acha kukurupukaKwani umaarufu huwa una vigezo ? Yule mke wa Sugu Faiza huwa anafanya nini ? Si maarufu yule ?
Au Matonya marehemu yule omba omba vipi ?
Asante kwa ushauri mkuu japo sio kikojozi nilitaka tu kujua
Mbona sijakurupuka kwani huo umaarufu wa Jf unaongelea mambo tofauti na yaliyopo kwenye jamii zetu ? Kina Matonya si watu wanao tuzunguka ?kwani wapo humu JF??acha kukurupuka
sasa humu kuna omba omba??halafu hilo la punyeto niliuliza kama zipo,na wewe inabidi uulize dawa ya kuacha kukojoa,kikojozi weweMbona sijakurupuka kwani huo umaarufu wa Jf unaongelea mambo tofauti na yaliyopo kwenye jamii zetu ? Kina Matonya si watu wanao tuzunguka ?
Unaponiuliza kama wapo humu Jf una maana ipi ?
Jamii forum watu si wana majina ya bandia wewe unajuaje kama hawapo
Umaarufu wa humu uliniambia ni kuanzisha mada kuna jamaa kaanzisha mada anauliza kama kuna Sober house ya punyeto mbona hukumwambia aache ujinga kama ulivyoniambia mimi ?