kalamuzuvendi
Member
- Nov 19, 2010
- 65
- 3
Kumezuka na zengwe kubwa la udini katika uchaguzi wa mwaka huu. Kila chama kati ya vyama viwili tajwa hapo juu vikituhumu kingine kujihusiha na siasa za Kidini na kibaguzi.
1. CCM
Umekuwa mtazamo wa wana JF na Chadema wengi kukihusisha chama hiki na udini- Uislam to be specific.
kwa mtazamo wangu mimi, CCM kama kuna Udini basi ni wa mtu binafsi ndani ya chama na wala si wa CCM kama CCM. Hilo liko wazi.Kimsingi chama kama chama-CCM, hakuna Udini na ndio utaona hata viongozi wa CCM kwa kiasi kikubwa ni Wakristo tena Safi.
Tukumbuke, mwaka 2000 na 2005 ambapo CUF(nayo ikihusishwa na Uislam) ilipokuwa mpinzani mkubwa wa CCM - bila shaka CCM ilikuwa ndio kimbilio pekee la Wakristo walio wengi na Hata Mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM mwaka 2005 kutajwa kuwa ni Changuo la Mungu na Kanisa - kauli hii ilihashiria kukubalika kwa chama na ushawawishi mkubwa kwa waumini kukichagua chama na hatimaye CUF kuangukia Pua.
2. Chadema
Umekuwa mtazamo wa baadhi ya Waislam, kukihusisha chama hiki na Udini na hapa tunazungumzia Ukristo!
Hata JK aliposema kuwa sasa kumeibuka Udini, bila shaka alikilenga chama hiki kumshambulia huku kikipata backup nzito ya kanisa.
Cha Msingi tuangalie kwanza, chanzo ni nini haswa kwa mtazamo huu dhidi ya CDM. Mimi ntagusa machache yanayowatia watu Hofu.
*Kupigiwa debe na kanisa kwa wazi kabisa, ukitazama waraka uliotolewa na kanisa katika chaguzi za mwaka huu ambapo kanisa halikuwahi kutoa waraka kabla
*Baadhi ya viongoz wa kanisa kuonesha upenzi wao kwa CDM na Mgombea wao bila kuficha, tukumbuke Slaa alipopatwa na kashfa ya kuchukua mke wa mtu- mchungaji kakobe alikuwa wa kwanza kuwataka watanzania wasiangalie maisha ya kingono ya Kingozi katika uchaguzi, ukizingatia kwamba yeye ni Mkemeaji maovu- hakupaswa kusema hili.
*Kuna rumours kwamba JK ndiye alivunja makubaliano kati ya chama/serikali na kanisa, na baada ya hapo kanisa liliamua kumuadabisha kwa kukipa nguvu CDM. Ni ukweli usiopingika, CDM hii hii na vingozi hawa hawa ndio walikuwepo tangu 2000, hii nguvu wameipata wapi kama si baada ya 2005 Mswahili alipokamata nchi na kuvunja makubaliano yenye kunyonya pande moja.
*Nisingependa kuzungumzia kuwa Slaa nayeye alikuwa nani katika dini yake kabla hajaingia kwenye siasa, hiyo yaweza kusomeka kama ni hoja hafifu. Ila nadhani viongozi wa CDM, wakristo wamezidi waislam sana na pia viongoz wa CDM ambao pia ni muslims wanapata wakati Mgumu. NIsingependa kuwataja, ila humu humu JF, tunaona kijana wetu aliyecheza part kubwa kukipa popularity chama chake anavyoandamwa na ma-great thinkers humu ndani!
*Mwisho,(wana JF=wana CDM) au ndani ya JF, christians > muslims! msimamo wenu dhidi ya the other religion unaonekana wazi kwenye kila thread,hauhitaji kuwa na akili kuliona hili. programaticaly saying, if(christians_JF > muslims_JF AND JF >= CDM) then CDM should be associated with x-mass!
My Conclusion,
Kabla sijaconclude, I must admit kuwa mimi ni Muslim, but I am neither CDM nor CCM, ila nipo sana JF kama mtazamaji. NImekuwa nafuatilia sana mada za siasa, na ninakubaliaana 95% kuwa CCM wanakosea, wanaidhulumu nchi sana! Ila pia ninakerwa na jinsi wana JF waliowengi wanavyoonyesha chuki zao dhidi ya dini yangu, na kiasi kikuwa ni wana CDM, na hivyo nimepoteza imani mno na hiki chama na kuwaomba kwamba watupende na sisi, sie pia tunachukizwa na na maovu ya CCM ila hakuna pakukimbilia kwani wao wanaonyesha chuki kweli - refer to most of threads humu JF. Angalizo, kama wataendelea na siasa hizi, watapoteza umaarufu wao kama yalivyowakuta kina CUF na hawatoshinda kamwe.
Nawakilisha!