Nani mjinga kati ya hawa.

Joined
Mar 2, 2013
Posts
37
Reaction score
5
1:Anaye weka majani ya chai kwenye sprite ili iwe cocacola. 2:Anaye fikiri mzungu ana kivuli cheupe. 3:Aliye mkimbia simba porini wakati alikuwa anaenda kujinyonga. 4:Aliye jifanya kaokoka sana mpaka ugali anasongea msalaba. 5:Aliyetoa mimba wakati usiku analala na mdoli. 6:Aliye enda kuulizia mkaa supermarket. 7:Aliyeenda kuvua samaki swimmngpool. 8:Aliyesimamisha gari la abiria kuulizia muda. 9:Aliyechunguza tundu linalovuja kwenye barafu. 10:Aliyekunywa sumu kwa kutaka kupewa maziwa.
 
Anaefikiri mzungu ana kivuli cheupe hahahha huyu ndo taahila sana kabisa fun kwelikweli

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

iko sawa
 
Aliyeandika ndiye mjinga maana hajui mjinga nani!!!.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…