Too private and also too personal, wasifie kwenye page zao ndio inafaa zaidiVijana wawili wanaokuja juu katika sekta ya uchambuzi wa soka nchini. Wote wamebahatika na wanafanya kazi katika taasisi ambazo ni miongoni mwa brand kubwa ukizungumzia nyanja ya michezo na habari kwa ujumla hapa nchini. Napenda sana kuwasoma na kuwasikiliza lakini hadi leo sijaweza kuwatofautisha na kugundua nani anajua zaidi ya mwenzie...
Kila mtu ana ubora wake ambangile ni mzuri katika kuzungumza na Kamwe yuko vizuri katika kuandikaAmbangile mkali ingawa Ali kamwe na yeye yupo vizuri ila kwa sasa Ambangile yupo juu zaidi, halafu akichambua mapenzi yake na team anayoshabikia anayeka pembeni.
anashabikia timu gani huyu jamaa ndani na nje?