Hawa jamaa wote tunaweza sema wamepoteza direction kimziki na kimaisha kwa sasa, but enzi zao(kipindi wapo kwenye ubora wao) hakuna asiyejua uwezo wao mkubwa wa kuimba na style yao ya kipekee.
Walipokuwa kundi 'Daz Nundaz' walifanikiwa kutoa hits kama KAMANDA,MAJI YA SHINGO,BARUA,etc ambazo zilisumbua sana enzi hizo.
Feruzi na Daz Baba kila mmoja kila mmoja alifanikiwa kuhit kama solo artist, Feruzi alihit na ngoma kama STAREHE, BOSI, JIRUSHE,WEMA WANGU, etc huku Daz Baba akihit na ngoma kama WIFE,ELIMU DUNIA,,NAMBA 8,NIPE 5, etc.
Yupi alikuwa mkali zaidi kwa upande wako?