Nani mkali kati ya diamond na bobjuniour? Wana jf

Nani mkali kati ya diamond na bobjuniour? Wana jf

Maneno izaak

Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
21
Reaction score
1
Nmekua nikisikia kua et diamond na bobjunior mkali diamond wana jf mnasemaje kuhusu hili nsaidieni jaman.
 
Huyo Bob muda mwingi yeye ni kujisifiasifia kuwa mzuri, hata simwelewagi anamaanisha nini.!!
 
kwa kukatika makalio bob junior anaongoza. kwa kuimba diamond.
 
Hawa ndio madiwani waliochaguliwa arusha? Ama ndio wale waliofukuzwa? Tufahamishane tafadhali.
 
Diamond inauzwa na inaingiza pato la taifa! Ila hiyo bibjunior ndo nini?inachimbwa wapi?kyela au?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
mkuu ianaelekea hujawahi kula pilipili,hamna kitu kikali zaidi ya pilipili..
 
Jitambue tafadhari...hapa sio ukurasa wa entertainment!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Wote hao sio wakali kwani wanaimba nyimbo kwa kutumia beats za watu toka kwenye computer. Katika muziki wetu wa Tanzania mi naona mkali kwa sasa ni Chalz Baba, Kalala Jnr., Jose Mara, Ally Choki, Bady Bakule, yaani wapo wengi tu wanamuziki wa ukweli ila kwa juu juu ni hao tu kwa sasa.
 
Hawa ndio wale green guard wa ccm au?
 
Back
Top Bottom