Wote hao sio wakali kwani wanaimba nyimbo kwa kutumia beats za watu toka kwenye computer. Katika muziki wetu wa Tanzania mi naona mkali kwa sasa ni Chalz Baba, Kalala Jnr., Jose Mara, Ally Choki, Bady Bakule, yaani wapo wengi tu wanamuziki wa ukweli ila kwa juu juu ni hao tu kwa sasa.