D didaduu Member Joined Jul 17, 2013 Posts 21 Reaction score 3 Jul 19, 2013 #21 Kiwa said: Diamond inauzwa na inaingiza pato la taifa! Ila hiyo bibjunior ndo nini?inachimbwa wapi?kyela au? Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums Click to expand... Ahahahhh...nimeipenda
Kiwa said: Diamond inauzwa na inaingiza pato la taifa! Ila hiyo bibjunior ndo nini?inachimbwa wapi?kyela au? Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums Click to expand... Ahahahhh...nimeipenda
D didaduu Member Joined Jul 17, 2013 Posts 21 Reaction score 3 Jul 19, 2013 #22 Jamn mnaniacha hoi na comments zenu
Mirhea JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 814 Reaction score 1,382 Jul 19, 2013 #23 Hizi comment ni balaaa. Nimecheka sana.
A angelique jolie Senior Member Joined Jul 1, 2013 Posts 101 Reaction score 14 Jul 19, 2013 #24 mh madiwani wa viti maalumu hao.
M mama kokuu Senior Member Joined Oct 11, 2012 Posts 131 Reaction score 22 Jul 21, 2013 #25 Huwez kumfananisha diamond na bob j diamondi ni mbingu na bob j ni ardhi bado sanaaaaa na afanye kaz ya ziada
Huwez kumfananisha diamond na bob j diamondi ni mbingu na bob j ni ardhi bado sanaaaaa na afanye kaz ya ziada
M my web JF-Expert Member Joined Dec 23, 2012 Posts 1,592 Reaction score 242 Jul 21, 2013 #26 mungu anisamehe.sijawahi kumchukia mwanamziki kama navyo uchukia bob j,sitaki hata kumsikia wala kumuona
mungu anisamehe.sijawahi kumchukia mwanamziki kama navyo uchukia bob j,sitaki hata kumsikia wala kumuona