Nani Mkali kati ya Diamond na Chris Brown?


Uko upande wa Diamond.
 
Kick!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kila mmoja amahaki ya kuongea ila asivunje sheria.Naisi huo ndio upeo wako wa kufikiri
 
Mahaba yakizidi unakuwa kama m.p u.m.b.a.v.u dot com
 
Mkuu kuna uzi Diamond anataka kuwa waziri. umeuona?

Jamaa sijuwi anawapa nn watanzania wenzetu yaani imekuwa tooo much. Wanakoelekea wasema ni zaidi ya michael jackson.
Au sijuwi anawatuma yeye mwenyewe maana hadi inakera
 
Hapo nawaachia wenye mahaba muamue
 
Dimond na brown? really? Hata Dimond mwenyee akiskia atakataa kufananishwa na brown. Usilinganishe kitambi na mimba bhana, we baba ako ana kitambi unasema ana mimba!
 
unafananisha dar es salaam na new york au iphone na huawei.embu kuwa mdadisi bwana hau unapenda mada
 
Mkuu kuna kengeza na chongo
Wewe upo wapi?
 
Shit izi
Ndiyo mkuu, huna habari kuwa wameshinda ubunge hawa?

kwa taarifa yako Jay ni mbunge wa mikumi na Mr. 2 ni wa Mbeya mjini.
Eminem yeye si atakuwa anategemea show tu? na recently hana hata kibao kinachovuma.
 
Mkuu yani Chrisbrown umlinganishe na Diamond mkuu, tuweke mbali ushabiki Chris Brown ni multi-talented yani yule jamaa ni hatari sana kuanzia kucheza, vocal mpaka utunzi, na video zake nyingi uwa ana zi direct mwenyewe. Yule jamaa ni fundi bwana ni fundi haswa achilia mbali kwamba anaishi na kufanya kazi nchi kubwa ila ana kipaji matata sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…