Nani Mkali kati ya Diamond na Chris Brown?


Du! Hapo umeyumba
 
Unajua ili Eminem aimbe wimbo mmoja kwenye show anatoza bei gani?
Achana naye hajui mapato ya Eminem mwaka mmoja ndo mapato ya wabunge wote na pension miaka mitano
 
Unafananisha Pizza na Makande,inafaa upimwe mkojo wewe si bure..
 
DP is doing so well but to compare him with CB! That is a huge STRETCH.



 
Hii inategemea mtu na mtu. Hakuna jibu sahihi au jibu lisilo sahihi - Wote ni wakali kwenye ulimwengu wao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…