Nani Mkali kati ya Diamond na Chris Brown?

Dah...weka huu uzi kwenye jukwaa la vichekesho.
 
Diamond mkali maana kamfukuza hadi amonaizi
 
Diamond anavyopambana na kuhustle kwa sasa nampa Diamond...

Embu imagine angekuwa States.

Diamond Juu.

Huyo Brown anafaida tu kajikuta yuko nchi ambayo ilishabarikiwa.
 
Mzani wako feki mzee Unampima chris brown Vs diamond real????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…