jf inamambo yake,
kuna hawa jamaa waliokuwa wanafanya interview humu sijui siku iz wameishia mitaa ya wp. mimi ni mdau wa hayo mahojiano, hebu tucheki ni nani alikuwa vizuri kwenye kuhost show kati ya DJ Sepetu na kiwatengu. tuamshe amshe show tena! unamkubali nani na kwann?
N:b nimeshindwa kupost references ya interview zao. Nani mkali?