Nani mkali kati ya Joh Makini na Fid Q?

Fid q mwenyewe anakiri Video zake mbovu. So zinaharibu ubora wa Muziki wake.
Kwasasa Joe Makini ndiye Bora

Fid q mwenyewe anakiri Video zake mbovu. So zinaharibu ubora wa Muziki wake.
Kwasasa Joe Makini ndiye Bora
Video sio tija kama maneno sio na style haviko ki hip hop halisi inabidi uje kunakuimba na kuchana katika hip hop yaani fid anachana hatari ila joh anaimba kunasiku nilikisia wanamzungumzia chemical na rose ree kuwa nani ni mkali ukweli ni kwamba chemical ni moto mwingine
 
Kuna Rap na Rap singer.

Eminem ni rap singer,meanwhile Twister ni raper.

So kuimba na kurap hakukuondoi kwenye ubora. Otherwise tukubali kua Did Q na Joe Makini hawafanani,style, Hivyo haifai kuwalinganisha

Kuhusu Huyo Rozaree nimewahi kumsikia ila Chemical simfahamu. Hivyo siwezi kuwazungumzia
 
Mtafute na chemical ile uwe sure
 
toa ushuzi wako hapa..rap singer ndiyo nini!?..mnaleta uchoko kwenye muziki wetu,mkitaka kuimba nendeni kwa Bella mkakate viuno..
 
Hapo umeongea nn sasa?? Si bora ukafumbata midomo yako usikilize wakubwa wanaongea nini
 
Acheni kumfananisha fidi na vitu vya ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…