ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Wote ni marafiki, walikuwa yamoto. Mmoja anasapotiwa na superbrand Clouds FM, mwingine anasapotiwa na Wasafi FM.
Wote wana nyimbo Kali, na wote ni wakali kushinda diamond(mzee) na alikiba(mzee)
Lakini ubishani ni mkubwa kuwa Nani ni Fundi zaidi. Toa maoni yako bila upendeleo