mnyama mkal
Member
- Jan 30, 2014
- 35
- 12
Weusi washukuru sana kutokea Arusha,,zaidi ya hapo uwa sioni cha kustua.
Eti katika nyimbo ya Weusi Gere nani kawafunika wenzake kat ya Joh, Nick wa Pili na G Nako?
nik katisha...cku izi mademu kibao hatupigi puriiiiiii
Weusi washukuru sana kutokea Arusha,,zaidi ya hapo uwa sioni cha kustua.
Hakuna wimbo pale,.