Nani Mkali: Ommy Dimpoz vs Rich Mavoko

jamiimemba

Senior Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
156
Reaction score
39
Jaman hivi kati ya Ommy Dimpoz na Rich Mavocko nani mkali kwa kuimba na mistari mizuri? Maana tumebishana sana huku kitaa.
 
Mavoko ni mkali ila nadhani producer anayemtengenezea dimpoz nyimbo ndo anayefanya dimpoz aonekane anajua.
 
dimpoz bhana.yaan kuanzia nainai,akaja baadae ikafuta me and u then akamalza na ndangushima.me naona yupo vizuri
 
Ommy dippoz anamanagement nzuri zaid ya mavoko ndio maana anaonekana mkali.
 
Mavoko ndio the best hapo,jamaa anaweza alitoka kivyake bila mbeleko...
Mzizi wa mapenzi moyoni,umekata kwa kinywa chakoo,
Huwezi kujua machoni kama nimemiss pendo lakooo.....aaagh what a song?
 
dah hebu mtakeni radhi mavoko tafdhali
mavoko next level....!!!
 
Mavoko ni mkali ila nadhani producer anayemtengenezea dimpoz nyimbo ndo anayefanya dimpoz aonekane anajua.

producer gani? maana dimpoz anatengeneza sehemu tofauti mfano nainai (kgt), baadae (man water), me n u (ema the boy), tupogo (marco chali & man water), ndagushima (tudy thomas)
 
ila sio mkali?
Kweli sio mkali.

Mfano Mavoko ni mkali zaidi coz anakitu cha ziada.Mfano Diamond,ali Kiba,Barinaba hawa wanamuziki wenye kitu cha ziada.
Lakini Ommy Dippoz,Sijui Ney,Madee yaani kawaida hata kama wana tracks zinakuwa zina hits still wanakuwa wakawaida.
 

pouwa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…