Nani mkali Sean Paul vs Shaggy?

Nani mkali Sean Paul vs Shaggy?

King_Villa

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
575
Reaction score
380
Nimekutana na kaubishi jioni hii .
vijana watatu wakibishania Mkali wa Jamaica katika miondoko Ya Dance Kali Kali inayochanganya na reggae .

Mi sikuwaingilia kwasababu pale Jamaica Bangi nyingi sana kama Arusha tu.

Ila kiukweli hawa jamaa wana mziki unaofanana nao niwapinzani ninavyosikia kama MONDI Vs Kiba.

Nakiukweli Kwa wazee wa kuruka viwanjani zikipigwa nyimbo za hawa jamaa huwa lazima watu wanataftana Akina Dada viuno unavikuta chini..

Ila supporter wa Sean Paul alikuwa mwenyewe lakini alionesha kuujua muziki.
Huku napo naamini wapo mashabiki wao .
Mseme nani Mkali?
9c6708c6ec0f7b843c86dc22dd64955d.jpg
aff6112513fd285a73eb8bc69613a739.jpg
 
Kumlinganisha Sean paul na shaggy ni kumwonea Sean.

Sean yupo level zingine weka hits za Sean mezani na za Shaggy mezani uone.

Kwa Diamond pia tunamwonea,Alikiba anajua ila Diamond ameshaondoka saana. Tuwalinganishe maana hatuna wa kumlinganisha naye.
 
Ni ngumu kuingia club bila kusikia ngoma ya Sean Paul ila rahisi sana kutomsikia Shaggy hata mwaka mzima.Yaani ngoma kama.Ever blazing,temperature ,give it to me ,Got 2 love u ,hold my hand,Rockabye nk hazichuji kabisa wala hazichoshi kusikiliza.
 
Nimekutana na kaubishi jioni hii .
vijana watatu wakibishania Mkali wa Jamaica katika miondoko Ya Dance Kali Kali inayochanganya na reggae .

Mi sikuwaingilia kwasababu pale Jamaica Bangi nyingi sana kama Arusha tu.

Ila kiukweli hawa jamaa wana mziki unaofanana nao niwapinzani ninavyosikia kama MONDI Vs Kiba.

Nakiukweli Kwa wazee wa kuruka viwanjani zikipigwa nyimbo za hawa jamaa huwa lazima watu wanataftana Akina Dada viuno unavikuta chini..

Ila supporter wa Sean Paul alikuwa mwenyewe lakini alionesha kuujua muziki.
Huku napo naamini wapo mashabiki wao .
Mseme nani Mkali?
Suh mi go suh den...
 
shaggy ni mwanajeshi Wa majini wa marekani kwa sasa huenda shughuli za kijeshi znam keep busy.
 
Back
Top Bottom