King_Villa
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 575
- 380
Kula like mkuuNi ngumu kuingia club bila kusikia ngoma ya Sean Paul ila rahisi sana kutomsikia Shaggy hata mwaka mzima.Yaani ngoma kama.Ever blazing,temperature ,give it to me ,Got 2 love u ,hold my hand,nk hazichuji kabisa wala hazichoshi kusikiliza.
Suh mi go suh den...Nimekutana na kaubishi jioni hii .
vijana watatu wakibishania Mkali wa Jamaica katika miondoko Ya Dance Kali Kali inayochanganya na reggae .
Mi sikuwaingilia kwasababu pale Jamaica Bangi nyingi sana kama Arusha tu.
Ila kiukweli hawa jamaa wana mziki unaofanana nao niwapinzani ninavyosikia kama MONDI Vs Kiba.
Nakiukweli Kwa wazee wa kuruka viwanjani zikipigwa nyimbo za hawa jamaa huwa lazima watu wanataftana Akina Dada viuno unavikuta chini..
Ila supporter wa Sean Paul alikuwa mwenyewe lakini alionesha kuujua muziki.
Huku napo naamini wapo mashabiki wao .
Mseme nani Mkali?
Sawa mkuuWote hao siwafaham lakin sean paul atakuwa mkali sana
Mleta maada ungeweka na tupicha ili tujue wanafanaje inaweza kuwa hata tunaish nao mtaa mmoja
Kabadili fani kumbe[emoji34]shaggy ni mwanajeshi Wa majini wa marekani kwa sasa huenda shughuli za kijeshi znam keep busy.
Not reallyKabadili fani kumbe[emoji34]
Mkali Farujohn Tanganyika nzima.
Yan ni mwanajeshi at the same time ni mwimbaji.Not really
He is playing in both fields.
Shaggy alishaacha jeshi kitambo!Yan ni mwanajeshi at the same time ni mwimbaji.
Sean anaonewa ati??Kumlinganisha Sean paul na shaggy ni kumwonea Sean.
Sean yupo level zingine weka hits za Sean mezani na za Shaggy mezani uone.
Kwa Diamond pia tunamwonea,Alikiba anajua ila Diamond ameshaondoka saana. Tuwalinganishe maana hatuna wa kumlinganisha naye.
YepYan ni mwanajeshi at the same time ni mwimbaji.
Hapo pa shaggy plus sexy lady na church heathenZama zao tofauti
Shaggy alijulikana kwa Carolina na bombastic na it wasn't me
Lakini Sean Paul anamwacha mbali sana Shaggy