Nani mkali Sean Paul vs Shaggy?

Ok.
Wewe ni shabiki mfia chama.... Unaweza kuwa shabiki wa msanii fulani ila kwenye ukweli sema tu... ndiyo maana nilikuambia senzo vs Bob. Kuna mtu anamkubali senzo ila tukimlinganisha na Bob toa mapenzi tu sema ukweli.

Mimi ni shabiki wa Rayvan ila Chukua mziki wake linganisha na Dai Ray atasubiri. Hata huyo belle namkubali ukija kwa kiba na Dai belle atasubiri.
 
We kweli shida, sasa ulikuwa unashindanisha hyo midata,
 
We kweli shida, sasa ulikuwa unashindanisha hyo midata,
Ni moja ya vigezo
Sasa shaggy toka achukue TUZO ya bombastic hadi na leo anaambulia vimbuzi unategemea nini wakati mwenzake billboard kwake si ishu kuingia.
 
Ishu ya Bel9 nmetoa mfano, na ulikuwa mtazamo Wa BELLA. Na hayo unayosema ya cjui Senzo, sijui Rayvan cjui Dai huo ni mtazamo wako. Nilikueleza mapema, mzk utakavoupokea wewe ucdhan na mm itakua hvyo. Mzk utakavyopokelewa tanzania ucdhan duniani kote ni hvyo.
 
Niwakumbushie wahengaa kuna nyimbo zetuu zilee hazichujii Tempted to Touch-Rupee,GAsolina -Daddy Yankee Rkelly-Burn it up na Kevin Lytle-Turn me on...hzii nmezichezaa sanaa wallah
Kuna nyimbo hata za Ckuiz cha mtoto
hapo ongezea
T.O.K gal you are lead ile ya goooonee,leeeead halafu Kevin lyttle drive me crazy,collie buddz mamacita,Sean Paul like glue
 
Namwelewa sana Shaggy, albamu yake ya 'hot shot' nimeipenda zaidi.
 
Shaggy ni Legendary zaidi ya Sean Paul Shaggy wa 93 huko sio waleo kabisa Shaggy ni Mhenga sana
 
Ni ngumu kuingia club bila kusikia ngoma ya Sean Paul ila rahisi sana kutomsikia Shaggy hata mwaka mzima.Yaani ngoma kama.Ever blazing,temperature ,give it to me ,Got 2 love u ,hold my hand,Rockabye nk hazichuji kabisa wala hazichoshi kusikiliza.
tabu ya watu mloanza kufatilia mziki kuanzia 2005
 
shaggy ana hit song nying sema weng mlichelewa kujua mziki ndo maana mnamchukulia easy

kuna My angel,,It wasnt me,,hey sex lady,wild 2nite (zamborroota zamboroota),bonfide gal bila kusahau recent hz church anthem

bila kusahau ultimatum bonge la song mamaee
 
Watu hawamjui Shaggy..
1. Leave it to me
2. Keep it real
3. I just don't wanna be lonely
4...... Many more
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…