Nani Mkali wa Voice Over?

Immaging ni kitu gani chief? Naomba kueleweshwa kidogo.

Radio imaging is the general term for the composite effect of multiple and varied on-air sound effects that identify, brand and market a particular radio station. These sound effects include: voiceover, music beds, sweepers, intros, promos, liners, stingers, bumpers, shotguns, and jingles.
 

Yawezekana ukawa umekuwa / umebalehe hivi Karibuni tu kwani mpaka hivi sasa bado hata hawa Watajwa wako hapa hawajafikia 25% ya Mafundi haswa wa Voice Over Tanzania kama Manguli hawa Wawili nakutajia hapa chini...

1. Terence Mwakalukwa
2. Chris Makanga

Uliowataja hapa sikatai kwamba ni Wazuri ila Kiuweledi hao Wanajitahidi tu ila bado hawajafikia uwezo mkubwa walionao / waliokuwa nao Watu Wawili tu niliokutajia hapo.

Kila la kheri.
 

Unaweza ukatutajia kazi za hawa wawili uliowataja..?
1. Terence Mwakalukwa
2. Chris Makanga
 
Immaging ni kitu gani chief? Naomba kueleweshwa kidogo.
Ni kitu kinachofanya mtu ukifungua tu redio ujue kuwa hii ni station fulani..mfano ni jingle za kutaja frequency za mikoa.jingle za kila top of the hour na za kutambulisha kipindi kinapoanza na jingle za segment za vipindi..mfano Cloud's fm kuna Jamaa anasauti nzito iliyo clear ndo anayefanya hiyo kazi
 
Alafu kuna mtangazaji mmoja alikuwa anaitwa roi mbarick maganga ile Sauti haijawahi tokea vocal nzito Kama golf la chizi afu imetulia alikuwa pale RFA
 
Alafu kuna mtangazaji mmoja alikuwa anaitwa roi mbarick maganga ile Sauti haijawahi tokea vocal nzito Kama golf la chizi afu imetulia alikuwa pale RFA
roy mlaliki maganga alikuwa TBC after RFA, Kwa sasa kajiajili
 
Dozen na mchomvu walikuwa wako vzr ila nashangaa now days hawafanyi,Kenedy anajitahid ila saut yake siyo rafiki kabisa.
 

Yule mnyama ni ML Chris, jamaa anajua sana. One of the best Presenters wanaojua kutema yai katika nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…