Nani Mkali wa Voice Over?

Hao uliowataja woote wana ukongwe wao katika tasnia, kiboko kuna dogo mmoja ni mtangazi wa choice fm huwa anakuja pale clouds kufanya powerbreakfast on saturday huyu kijana anaitwa Mussa Memba, clouds wenyewe wanaelewa shughuli yake kwanza ana sauti nzuri ya kitangazaji. Sema bado wanamtafuta undani kuna yale matangazo yenye maelezo marefu ndo anapiga kwa mfano tangazo la chuo cha Datastar training college na shule ya Green acres na haya matangazo wa maombi ya vyuo....mtegee sikio huyu bwana
 
Oooh nampata vyedi Uyo Mussa Member pia wa humu JF naskia.
 
Niongeze tu 90's..
1.Taji Liundi (Matangazo ya Plan International,Sabuni ya Kodray)
2.Mike Mhagama (Mtangazo ya mwaka mzima ya Bia ya Kibo Gold)
3.Othman Njaidi
4.Makanga Lugoe (ML Chris)
 
Niongeze tu 90's..
1.Taji Liundi (Matangazo ya Plan International,Sabuni ya Kodray)
2.Mike Mhagama (Mtangazo ya mwaka mzima ya Bia ya Kibo Gold)
3.Othman Njaidi
4.Makanga Lugoe (ML Chris)
Makanga Lugoe noma kweli washikaji zangu.
 
unachosema kina ukweli, ila kwa pale wakali wa Classified ads, ni Mwihava, na Jacqueline kombe,
 
Niongeze tu 90's..
1.Taji Liundi (Matangazo ya Plan International,Sabuni ya Kodray)
2.Mike Mhagama (Mtangazo ya mwaka mzima ya Bia ya Kibo Gold)
3.Othman Njaidi
4.Makanga Lugoe (ML Chris)

huyo namba4, naskia ni tishio sana kwenye hizi mambo
 
Kuanzia Makampuni mbalimbali ya Simu yale yaliyoanza Kuingia nchini na ya Bidhaa nyinginezo nyingi tokea miaka ya mwishoni mwa 1999 hadi kuelekea mwaka 2009 hapo.
sawa sawa, wengine tulikokuwa tunaishi redio zilikuwa chache na redio iliyokuwa inashika ni RTD Dar es salaam tu
 
ML Chriss ni shida
 


CONCLUSION: Kwa jinsi uzi ulivoenda na comment za wadau ML CHRISS anaibuka kuwa ndio mkali wa Tasnia hiyo
 
kivipi tena. michepuko inakaaje hapo
Hilo ni Tangazo liliandaliwaga na Wizara ya Afya alilipiga Kibonde kuhusu Kubaki njia kuu na kuepuka michepuko ili kupunguza maambukizi ya UKIMWI"Baki njia kuu Michepuko sio dili Epuka UKIMWI"...Dr.Kibs may his Soul Rest In Peace Role Model.
 
Uzi huu tunaruhusiwa kuweka na wale ambao tunatamani tusiwasikie redioni? Yaani tukisikia tu vipindi vyao tunabadili chaneli...


Diva wa Clouds
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…