Nani Mkali wa Voice Over?

Shabani Kisu
 
Uzi huu tunaruhusiwa kuweka na wale ambao tunatamani tusiwasikie redioni? Yaani tukisikia tu vipindi vyao tunabadili chaneli...


Diva wa Clouds
na dijaro arungu sauti mbaya sijapata kuna.....
 
ndio nani tena huyu Patrick masele

Patrick masele ni yule jamaaa anasikika kwenye matangazo mengi clouds

Mafano kwenye power breakfast ile sauti inasema "inalipa kusikiliza power breakfast"

Vipindi vyote vya cloud's vikiwa vinaanza lazima usikie sauti yake
 
 
@ jamaa mmoja anaitwa meneja maneno ana kampuni inaitwa Safari automotive na chefkile ingia instagram page zao jamaa wanasauti balaa
 

Sio ML.Chris's huyo anaitwa Patrick masele hata Instagram anatumia jina hilo hill

Watu wamchanganya sana huyu jamaa
 
Wote hao uliowataja ni ma voice over wa dsm kikazi,lakini mikoani kuna ma voice over wakali sana pengine kuliko hao au sawa
Mfano kuna redio moja iko mbeya inaitwa Dream fm,ina ma voice over wakali sana,
Na wanatumiwa sana,katika matangazo ya biashara na kiserikali.
 
Hivi yule jamaa aliyetengeneza jingle ya Dj dea anaitwa nani wananzengo?
 
Mkuu laivu kuna jamaa pale dreams fm hafai anajua kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…