Nani mkali zaidi ya hawa wakali chipukizi kutoka Mwanza

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
aman iwe nanyi waungwana wa jukwaa hili nina mpambano hapa nataka tumalize ubishi

kati ya hawa marapa wakali chipukizi

coyo mc ana ngoma kama njoo badae na ziwafikie
na huyu mzee wa kulalamika edu boy na ngoma zake naiee nan mkali mazee

vidio zinakataa kuingia hapa naomba mwenye vidio zao anisaidie kuziwwka hapa

nawasilisha
 
wote wamejaa kulalama.tu
 
Wote wabovu tuu kwanza watu wa huko kiswahili chenyewe kukizungumza shida achilia mbali kukiimba.
Eti utasikia mtu anasema "nitarara nao mbere". Sasa ndio nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…