leo nimesikia wimbo mmoja wa msanii wa hapa bongo ametumia instrumental ya j martin na yeye melody yake ni ileile aliyotumia j martins yaani kama alivyokuwa akifanya Saleh Jabir. mi naona ni kazi moja ngumu sana, yaani lazima msanii awe mkali kuweza kufanya hivi tofauti na ya msanii anayetunga tu na kutengenezewa beat na producer studio. we unaona nani mkali hapo?