Ze burner
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 514
- 83
Ninaishi katika nyumba yakupanga. Pia wapo majirani wengine ktk nyumba ya jirani. Napenda saana kuangalia nje kupitia dirishani kwani sikuona hata sababu ya kuweka pazia kwa kuwa hakuna kibaya kinachofanyika chumbani kwangu. Kuna binti mrembo huwa anapita mara kwara akiingia na kutoka na mara nyingi akiangalia dirishani hinikuta na kudhani nakaa kwa ajili ya kumtazama yeye.
Sasa bhana binti ameenda kunishtaki kuwa Mimi Nina kawaida ya kumchungulia kwa dirishani. Baba take alinifata na kunifokea kuh tukiohilo.
Hebu msaada jamani. Hata on tuhuma hizo zingekua kweli, Hapo ni Nani amekuwa akimchungulia mwenzake? Mm wa chumbani au binti aliye nje.