Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,732
- 6,561
Za nini tenaNaona umekusanya nondo
labda tuwaulize wazazi wao au RITA watuambie nani mkubwa kati yaoWakuu hope mko poa
Naomba kuuliza ni nani, Ni mkubwa, lakini pia nani anajua Siri nyingi, lakini pia nani yupo karibu mno na raisi Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa(DGIS)
Karibu mtujuze mnaojua
Wote ni wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama. Tofauti ni majukumu. Ila kwa protocol wako sawa.Mkuu wa majeshi CDF ndio mkuu kwa wote.
DG TISS amezidiwa cheo hata na IGP.
Anachafaidi DG TISS ni kuwa chawa wa rais a.k.a mnoko, mchomeaji wenzie.
Ki usalamaZa nini tena
We jamaa kwamba😂😂Ki usalama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]We jamaa kwamba[emoji23][emoji23]
Sio kweli.Mabeyo ni mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama! IGP sio General ila ni Inspector General! General ni mmoja tuSio kweli, mmoja Ni Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa na mwingine Ni Mkuu wa majeshi ya Ulinzi.
Vyombo vya Usalama vina wakuu wao lakini ukifuata Protocol hao wengine hawana cheo Cha General ndio maana wengine Ni makamishina huku Ni mabrigedia nk.
Hivyo inapelekea yeye kuwa wakwanza kimadaraka lakini sio kwamba anawaongoza kimajukumu.
Hatuna Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama ila tuna Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (CDF)..Sio kweli.Mabeyo ni mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama! IGP sio General ila ni Inspector General! General ni mmoja tu
Bado tofauti ipo, figo zikichoka umekwenda. Ni lipata matatizoya utendaji, litaharika mpaka linabaki 10% wewe unadunda.Wote wakubwa, wote muhimu kwa TAIFA. Ni kama INI na FIGO katika mwili wa binadamu.