nani mlengwa

Comi

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
3,328
Reaction score
958
za mida waungwana. samahani hivi nini lengo la kuwashwa muziki/ luninga ndani ya mabasi au bar/ hotel/ grocery? vitu hivyo vinawashwa kwa ajili ya wahudumu au wateja. mara nyingi utakuta wahudumu wanasikiliza au kuangalia kile wanachokitaka sasa hapo nabaki njia panda wamejiwekea wenyewe au wewe mteja
 
Pole sana wenzako tunaenda bar kuangalia warembo wewe unalilia kuangalia TV?
 
Wakisema wafuate choice za wateja wote itakuaje...maadam umefuata appointment au kujiburudisha na kinywaji then fuata yako waachie TV yao na maamuzi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…