Kyatile JF-Expert Member Joined Feb 5, 2017 Posts 1,730 Reaction score 1,571 Jun 27, 2023 #1 Kama kichwa kinavyoeleza naomba mwenye kujua anisadie nani mmiliki/wamiliki wa Azania Bank ya Tanzania?
Kama kichwa kinavyoeleza naomba mwenye kujua anisadie nani mmiliki/wamiliki wa Azania Bank ya Tanzania?
Madihani JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 6,154 Reaction score 7,083 Jun 27, 2023 #2 Unapenda kuchunguza mali za wengine, utapata faida gani?
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 25,190 Reaction score 27,434 Jun 27, 2023 #3 Kyatile said: Kama kichwa kinavyoeleza naomba mwenye kujua anisadie nani mmiliki/wamiliki wa Azania Bank ya Tanzania? Click to expand... Labuda ni azania flour
Kyatile said: Kama kichwa kinavyoeleza naomba mwenye kujua anisadie nani mmiliki/wamiliki wa Azania Bank ya Tanzania? Click to expand... Labuda ni azania flour
X_INTELLIGENCE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 10,400 Reaction score 14,339 Jun 27, 2023 #4 Una mtaka mmiliki akupe Nini...? Nadhani ungeenda bank moja kwa moja huwa wanabandika kwenye mbao za matangazo...maceo wote pamoja na share holders
Una mtaka mmiliki akupe Nini...? Nadhani ungeenda bank moja kwa moja huwa wanabandika kwenye mbao za matangazo...maceo wote pamoja na share holders
Insidious JF-Expert Member Joined Oct 28, 2020 Posts 654 Reaction score 895 Jun 27, 2023 #5 Kyatile said: Kama kichwa kinavyoeleza naomba mwenye kujua anisadie nani mmiliki/wamiliki wa Azania Bank ya Tanzania? Click to expand... piesiesiesiefu.
Kyatile said: Kama kichwa kinavyoeleza naomba mwenye kujua anisadie nani mmiliki/wamiliki wa Azania Bank ya Tanzania? Click to expand... piesiesiesiefu.
Kyatile JF-Expert Member Joined Feb 5, 2017 Posts 1,730 Reaction score 1,571 Jun 27, 2023 Thread starter #6 Madihani said: Unapenda kuchunguza mali za wengine, utapata faida gani? Click to expand... Huna cha kuchangia tulia.
Madihani said: Unapenda kuchunguza mali za wengine, utapata faida gani? Click to expand... Huna cha kuchangia tulia.
jang JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 1,415 Reaction score 1,186 Jun 28, 2023 #7 Inamilikiwa na serikali
African Geek JF-Expert Member Joined Jul 29, 2022 Posts 817 Reaction score 1,470 Jun 28, 2023 #8 Nipo hapa Ulikua unasemaje