Nani mmiliki wa DarLive?

Nani mmiliki wa DarLive?

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Habari wadau,

Nimehakikishiwa na m1 wa mafundi wa riz1 aliyejenga pale darlive,kwamba ni ya kwake kabisa na pili ashanunua kile kiwanja cha pembeni cha CRDB na wanajenga parking,CRDB washatafutiwa sehemu nyingine soon watavunja pale wajenge parking.

Mods kama mkifuta huu uzi basi siku wakivunja CRDB mbagala na wakijenga parking ya darlive mtaurudisha!

Nawasilisha
 
Mambo hayo asiye na mwana aeleke jiwe. Si anapesa lakini!
 
King! Are you sure? Pale kwa Shigongo mkuu wangu!
 
CRDB kuuza eneo si makubaliano yao? Wameona inawalipa, nini tatizo? Pia kwa huyo fundi kukuhakikishia si dhani kama kuna ka ukweli! Kwani Riz1 ndiye msimamizi wa ujenzi?
 
Mzee wa Buchosa!!

Inawezekana kuna kaukweli kuwa mtoto wa baba Mwanaasha ana ubia pale DarLIVE kwani hata baba yake alijaribu kumbeba Shigongo kule Buchosa apate ubunge lakini ikashindikana; si unajua tena mkweree alivyo na tamaa ya mshiko sababu ya kutoka kwenye familia maskini!!
 
Sidhani CRDB wanauza kwa kupenda ni kwa ajili ya security! Kimsingi Benki na night club au kumbi za mziki wapi na wapi. Nasikia kuna kipindi walevi wanajaa na kuanza kuwasumbua walinzi pale kwenye benki, kwa hiyo CRDB wanahofia usalama wa mali zao!
CRDB kuuza eneo si makubaliano yao? Wameona inawalipa, nini tatizo? Pia kwa huyo fundi kukuhakikishia si dhani kama kuna ka ukweli! Kwani Riz1 ndiye msimamizi wa ujenzi?
 
we need to be sensible sometime, huyo rizone hawezi kumiliki kila kitu jamani, yaani kila kinachojengwa au kufunguliwa hapa mjini ni cha rizone? stop these nonsense! hata kama ana tamaa vipi hawezi kumiliki vitu vyote ivyo vinavyokua linked na yeye!
 
inaweka kuwa financed by riz moja but.....sio mmiliki...ilo nalo lipo
 
Kama mmiliki sio Erick Shigongo,basi atakuwa amejiaibisha sana(Eric) kwa kujirahisi kuchafuliwa cv na mafisadi.
 
hata mimi ningekubali siyakinuka basi kuliko kupeleka mshiko nje ya nchi..
 
Kila kitu kipya mjini ni cha riz1,acheni kupotosha umma. mmliki halali ni Erick
 
Back
Top Bottom