King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Mambo hayo asiye na mwana aeleke jiwe. Si anapesa lakini!
King! Are sure? Pale kwa Shigongo mkuu wangu!
Mzee wa Buchosa!!
CRDB kuuza eneo si makubaliano yao? Wameona inawalipa, nini tatizo? Pia kwa huyo fundi kukuhakikishia si dhani kama kuna ka ukweli! Kwani Riz1 ndiye msimamizi wa ujenzi?
we need to be sensible sometime, huyo rizone hawezi kumiliki kila kitu jamani, yaani kila kinachojengwa au kufunguliwa hapa mjini ni cha rizone? stop these nonsense! hata kama ana tamaa vipi hawezi kumiliki vitu vyote ivyo vinavyokua linked na yeye!
hata mimi nimepata tetesi kwamba shigongo ni geresha tu pale.Kwa rizmoko mkuu,nimeongea na fundi ambae aliyejenga pale!! Shigongo kabebeshwa zigo tu!!!
Was that a question?
Kama mmiliki sio Erick Shigongo,basi atakuwa amejiaibisha sana(Eric) kwa kujirahisi kuchafuliwa cv na mafisadi.
Kweli aisee!Kwa rizmoko mkuu,nimeongea na fundi ambae aliyejenga pale!! Shigongo kabebeshwa zigo tu!!!
Kila kitu kipya mjini ni cha riz1,acheni kupotosha umma. mmliki halali ni Erick