King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
- Thread starter
-
- #21
CRDB kuuza eneo si makubaliano yao? Wameona inawalipa, nini tatizo? Pia kwa huyo fundi kukuhakikishia si dhani kama kuna ka ukweli! Kwani Riz1 ndiye msimamizi wa ujenzi?
we need to be sensible sometime, huyo rizone hawezi kumiliki kila kitu jamani, yaani kila kinachojengwa au kufunguliwa hapa mjini ni cha rizone? stop these nonsense! hata kama ana tamaa vipi hawezi kumiliki vitu vyote ivyo vinavyokua linked na yeye!
Kila kitu kipya mjini ni cha riz1,acheni kupotosha umma. mmliki halali ni Erick
Erick:
1. Global Publishers
2. Johannesburg Hotel - Sinza Mori (Mole)
3. Atriums Hotel - Sinza/Mwenge Africa Sanaa
4. Herbays (spelling??) Hotel - Mwenge near Bamaga Petrol Station
5. DarLive - Mbagala
6. .............
7. .............
8. .............
9. .............
10. ............
and the list goes on?
Mjasiria Mali, Fisadi au Mwekezaji???
Kiwanja cha pale alinunua shigongo zamani sana akawa anafyatua matofali 2005 ila kwa sasa riz.moko kachukua jumla na kajenga darlive!!!
eric shigongo mlokole anamiliki night club? Duh ufalme wa mbinguni ni kazi sana